misha nyangassa
Member
- Mar 29, 2015
- 95
- 41
Wataalam njooni hapa, ipi kati ya hizo engine mbili ni kiboko ya mwenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks so much, nimekuelewa vizuri kupitia kule1az ni bora kwa sababu ni generation mpya zaidi ya 3s fe
Thanks so much. Nimejifunza hasa sisi wenye vipato vidogo hizi new generation engines hazitufaiSijui ipi ni kiboko ya mwenzie kama ulivyouliza ila nafahamu haya:
1. 1AZ-SFE ni engine model iliyotengenezwa baada ya 3S-FE, hivyo kwa maana ya ukisasa 1AZ-SFE ni mpya zaidi ya 3S-FE.
2. 1 AZ-SFE maarufu zaidi kama D4 ina technolojia nzuri zaidi katika utumiaji wa mafuta kulinganisha na 3S-FE. Tatizo kubwa la engine hii ni kuwa haipendi petrol chafu. D4 engines ziko kwenye magari mengi kama RAV4 Kili time, Toyota Premio (zile za 2L engine), Nadia (ACN model), Noah (new model),VOXY, na nyingine. Watu wengi hawana experience nzuri na engine za D4.
3. 3S-FE ni engine inayotumika kwenye magari kama RAV 4 old model (1995 -1999), na magari mengine. 3S-FE kibongo bongo zimeonekana ku-fit mazingira yetu kuliko D4 engines. 3S-FE hazina shida kwenye mafuta/petrol chafu, zinapiga mzigo tu.
Ukitaka kujua zaidi jaribu kutafuta habari za D4 engine humu JF au kwenye mitandao mingine.
Nashangaa sana kumbe ni wengi tunafatilia hizi engine kwa ufupi tu utafiti wangu nimeona D-4 ni ya kuepuka sana japo zipo hapa na wanatumia watu , mitandao mingi hasa ya nje wanadai D-4 ime failWataalam njooni hapa, ipi kati ya hizo engine mbili ni kiboko ya mwenzie
Is it true? . Zimefail?Nashangaa sana kumbe ni wengi tunafatilia hizi engine kwa ufupi tu utafiti wangu nimeona D-4 ni ya kuepuka sana japo zipo hapa na wanatumia watu , mitandao mingi hasa ya nje wanadai D-4 ime fail
watengenezaji wote wame adimit ku fail kwa hiyo technology angalia D-4 , GDI, soma utakuta majibibu hayoNew models zinakuwa na faida kuliko old models. Kuna uoga unaojengwa kwasababu either ya kutokujifunza vitu vipya(mafundi) au umaskini (kutishwa na bajeti finyu against maintenance of new models/tech...go for D4 engines