Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Sasa hapo ndo inatakiwa ilinganishwe nayo hio walau ndo kuna uwiano hasa kwenye Class Executive Sedan ndo zinadondokea huko pamoja kwaio mjadala huu umetaka ku compare engine zisiofanana sababu wajapani wa kibongo wengi wanaipingia makelele 2JZAisee mlinganisho uliopo ni wa JZ engine vs engine za Kijerumani.. Huu sio mlinganisho wa chassis.. Wewe unalinganisha chassis..
Kwenye chassis yes E34 na Crown ndio category moja.. Executive Sedan..!
Mbili hiyo engine unayoisema kwenye crown haiwezi kukaa ligi moja na S38B38..!
Haina uwezo hata wa 2JZ..!
Hiyo inalinganishwa na M60/M62 za kwenye E34 540i.. Ila sio E34 M5..!