1JZ/2JZ haiwezi kupambana na Wajerumani

Sasa hapo ndo inatakiwa ilinganishwe nayo hio walau ndo kuna uwiano hasa kwenye Class Executive Sedan ndo zinadondokea huko pamoja kwaio mjadala huu umetaka ku compare engine zisiofanana sababu wajapani wa kibongo wengi wanaipingia makelele 2JZ
 
Aisee wapi unashindwa kuelewa..!!!?
Mimi sipo kabisa kwenye chassis.. Naongelea engines..
Wewe unaongelea chassis..

Nimeshakupa similarities zake..
Zote ni inline six.. Zote ndio zilikuwa most powerful engines kwa brand zao kwenye hizo era..!
Huoni zinafanana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…