1k maana yake nini?

K ni kama lugha ya mtaani ikimaanisha 1000, inatokana na metric system kumaanisha Kilo...(1000m =1KILOmita au 1000g = 1KILOgram) hivyo si sahihi sana kimatumizi
Asante mkuu
 
Hiyo ni prefix ambayo hutumika badala ya 1000.
Ambapo 1k = 1000
10k = 10,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…