1k maana yake nini?

1k maana yake nini?

K ni kama lugha ya mtaani ikimaanisha 1000, inatokana na metric system kumaanisha Kilo...(1000m =1KILOmita au 1000g = 1KILOgram) hivyo si sahihi sana kimatumizi

Acha ulongo wewe, hii ni JF kumbuka!!!
Eti lugha ya mtaani!! Mtaa gani??

K ni Kilo.. hapo ndio utapata na vizio vingine kama
kilowatts
kilometers
kilograms
kilotons n.k
 
Acha ulongo wewe, hii ni JF kumbuka!!!
Eti lugha ya mtaani!! Mtaa gani??

K ni Kilo.. hapo ndio utapata na vizio vingine kama
kilowatts
kilometers
kilograms
kilotons n.k
Du
 
Acha ulongo wewe, hii ni JF kumbuka!!!
Eti lugha ya mtaani!! Mtaa gani??

K ni Kilo.. hapo ndio utapata na vizio vingine kama
kilowatts
kilometers
kilograms
kilotons n.k
Na Tsh. 100k?
 
Nimeelewa ni kilogram 1000

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️
 
Na Tsh. 100k?
Vp kila mdau ametoa ufafanuzi wengine wanapingana so nimeamua kuchagua jibu ilo cz sijui nimwamini nani[emoji768] mfano unatafuta njia na we mgeni ,,wenyeji wanapingana unafanyaje unapita yoyote uliyoelekezwa na mmoja kati yao au ukemweli ni upi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️
 
Hebu jiongeze ingia hata kwenye wikipedia ya kiswahili usome.
 
Vp kila mdau ametoa ufafanuzi wengine wanapingana so nimeamua kuchagua jibu ilo cz sijui nimwamini nani[emoji768] mfano unatafuta njia na we mgeni ,,wenyeji wanapingana unafanyaje unapita yoyote uliyoelekezwa na mmoja kati yao au ukemweli ni upi?
Nimechagua jibu ilo cz majibu ni mengi
 
Ila kwa muktadha wa lugha za fedha kwa hapa JF,wadau humaanisha 1000, kwa 100k maana yake ni laki moja(100x1000)
 
Back
Top Bottom