2,000,000/= nifanye biashara gani.?

2,000,000/= nifanye biashara gani.?

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Mambo vipi.!

Naombeni ushauri mimi ni mwajiriwa,,niko singida.. Nina hicho kiasi cha mil.2 ila natamani sana kufanya biashara angalau kujikwamua na haya maisha ya kutegemea mshahara.,.tatizo sina uzoefu hata kidogo kuhusu ujasiliamali..sijui hata pa kuanzia...,au kama kuna tunaweza share hata biashara tutafutane private msg(pm)!!
 
mkuu tafuta eneo fungua genge la mbogamboga , matunda na vyakula
return yake ni ya uhakika
 
Mambo vipi.!

Naombeni ushauri mimi ni mwajiriwa,,niko singida.. Nina hicho kiasi cha mil.2 ila natamani sana kufanya biashara angalau kujikwamua na haya maisha ya kutegemea mshahara.,.tatizo sina uzoefu hata kidogo kuhusu ujasiliamali..sijui hata pa kuanzia...,au kama kuna tunaweza share hata biashara tutafutane private msg(pm)!!

Nunua boda boda
 
UNGEKUWA DAR NINGEKUSHAURI UFUNGUE KIBANDA CHA CHIPSI, inalipa sana ukipata eneo zuri hasa bar..
 
Back
Top Bottom