Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external.
1. Nyumba ipo ndani ya fence na kuna geti. Parking ipo ya gari ndogo
2. Umeme na maji inajitegemea
3. Vyumba vya kulala ni viwili tu. Plus jiko na choo