iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh hata sijaelewa kitu! nimeambulia tu picha
Kuna watu walitakiwa wasife!
Na wasela mavvi kama tupac walitakiwa wafe mapema ili asiendelee kuharibu vijana kwa kuiga usela wake usio na kichwa wala miguu..
Wapi wewe jamaa alikuwa anaongea vitu ukweli na vingi vimetokea akiwepo au baada ya kifo chake .. Nadhan msela yule ana akili na heshima kuliko wewe mheshimiwa .. Fanya na wewe usela kama utauweza kupata heshima na kukumbukwa duniani , inabidi uappreciate mafanikio ya mtu na movement zake hata kama kafa ... Rip Tupac , Rip Bob Marley , Rip Malcom X , rip martin Luther King .. And so all great activists in one way or another ... Acha wivu wa kike
Kawasikilizishe hit em up babaako na mamaako!..halafu uje hapa tujadiliane vizuri!!
Hit em up but kuna nyimbo nyingi sana za 2pac zilizokuwa na ujumbe muhimu sana kwenye jamii,sikiliza track zifuatazo
1.Dear Mama
2.Brenda got baby
3.Changes
4.Keep your head
5.Letter to my unborn child
Kawasikilizishe hit em up babaako na mamaako!..halafu uje hapa tujadiliane vizuri!!
6.Thung mansiom
7.Baby do cry
8.Me against the world
9.Ghetto Gasper
Its been 19 years since you gone , as a number one fan , i would love to say that we miss you Tupac Amaru Shakur .... Music aint the same without Pac . Lets all join to celebrate his hip hop and as an activist life ... View attachment 286453