Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
21:Jaji wariobaList Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Vipi JAMBAZI MAKONDA NA SABAYA?List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Tumtoe Nani hapo akae sinde warioba21:Jaji warioba
Dr am 4 real PhDList Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Kwahiyo mkuu kwenye Research yako uliona kuwa Nancy Sumary alikuwa na impact kubwa kuliko JIWE? Haya bana, RIP Jiwe, RIP Simba wa Yuda, RIP JPM.List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Kwenye siasa Jiwe Hana legacy ya kumzidi nyerere Wala mtikilaKwahiyo mkuu kwenye Research yako uliona kuwa Nancy Sumary alikuwa na impact kubwa kuliko JIWE? Haya bana, RIP Jiwe, RIP Simba wa Yuda, RIP JPM.
#Hilinalomkalitizame.
Hii list sababu umetoa wewe tuseme ni mawazo yako....ila imekaa ki NGUMBARU GUMBARU SANAList Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Weka ya kisomi mkuuHii list sababu umetoa wewe tuseme ni mawazo yako....ila imekaa ki NGUMBARU GUMBARU SANA
....sio ya kisomi.....
Narudia tena hii list imekaa KI LASABA LASABA SANA ..yaani umechanganya wanasiasa wafanyabiashara ..mipira ngumi.....Weka ya kisomi mkuu
Hahaha huyu Matumla ni nani hasa?List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Wewe fanya ya kwako sasa ambayo unaitaka....ila ya kwake ndio hiyo.Narudia tena hii list imekaa KI LASABA LASABA SANA ..yaani umechanganya wanasiasa wafanyabiashara ..mipira ngumi.....
Ungeandika hawa upande wa siasa
Michezo, fashion, labda uandishi ungeeleweka
Ndo maana nasema hii list ya KI LASABA LASABA SANA au wewe ni la saba hujui ku grade watu
We jamaa una gubu.Hii list sababu umetoa wewe tuseme ni mawazo yako....ila imekaa ki NGUMBARU GUMBARU SANA
....sio ya kisomi.....
Jpm level yake ni Heche hawezi hatan kumfikia John Mnyika. Ni vile tu Urais Tanzania hauangalii Merits bali Kubebana na wenye chama wanataka niniKwenye siasa Jiwe Hana legacy ya kumzidi nyerere Wala mtikila
Hawa waweke kwenye list yako.πππVipi JAMBAZI MAKONDA NA SABAYA?
PFunk ni Hero ametuletea burudani for over decades amefanya mapinduzi kwenye Bongo fleva.Majani huyu huyu?
Akili zako ndogo,post Kama hii hunu jf sio ya kwanza Wala ya pili,na dunia nzima wanapoeka watu waliofanya makubwa kwenye nchi zao hawaangalii wanatoka kada ipi,so chill msomi,.Narudia tena hii list imekaa KI LASABA LASABA SANA ..yaani umechanganya wanasiasa wafanyabiashara ..mipira ngumi.....
Ungeandika hawa upande wa siasa
Michezo, fashion, labda uandishi ungeeleweka
Ndo maana nasema hii list ya KI LASABA LASABA SANA au wewe ni la saba hujui ku grade watu