20 July, 1969 Armstrong na Buzz kwenye ardhi ya mwezi

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533


Armstrong na Buzz Aldrin wikitembea kwenye sayari nyingine.

Huu ulikuwa mwaka 1969
Wenzetu wametuacha mbali sana
 
Huo ni uongo wa Marekani.
Hakuna binadamu ambaye amewahi kukanyaga mwezini. I swear to God!
 
Kwa nini unadhani ni fix? Au kitabu unachokiamini ndicho kilichokupiga fix kwamba mwezi ni mtukufu mno kiasi kwamba hakuna binaadamu yeyote atakayeweza kuukanyaga?
tangu lini mwezi ukawa mtukufu, tunakupa taarifa tu kuwa hakuna mtu alishakanyaga mwezini
kama unapenda kuamini uongo,endelea kuamini
 
Armstrong na Buzz Aldrin wikitembea kwenye sayari nyingine.

Huu ulikuwa mwaka 1969
Wenzetu wametuacha mbali sana
Hakuna binadamu aliyefika kwenye sayari nyingine kwakuwa sayari pekee inayoweza kufikika kwa sasa ni Mars na binadamu wa kwanza anatarajiwa kufika huko mwaka 203
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…