20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

Peleka posa uvute ndani toto la Kikurya ukate kuu YAKO.
 
Hajaacha ila ni kwamba nyimbo haziendi, lakini pia alikuwa anataka kumprove wrong Ruge kwamba bila yeye anaweza simama, pia waliokuwa wakimchukia Ruge/Clouds wote walikuwa upande wake hivyo alikuwa na nguvu
 
Huyu dada fundi sana
 
Beef yake na Ruge ilikuwa ni kiki inayompa mileage pamoja na kwamba ni artist mwenye kipaji kikubwa, bila hiyo kiki namna ya kuusukuma muziki wake kwenye hii competitive market imekuwa ni changamoto naye akajiongeza na kusoma alama za nyakati akaona isiwe tabu bora aachie younger generation waendeleze alipoishia.
 
Pia alifanya vile ili Kumkomoa Ruge,,, yaani alimuonyesha yeye mwenyewe anaweza kusimama bila kusimamiwa,,kwani ilifahamika kuwa Ukikosana na Ruge unapotea kimuziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…