20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

Hili bandiko nimerudisha miaka ile ya bila social network,mida kama hii ningekuwa nalisoma kwenye magezeti kama vile,IJUMAA WIKIEND,KIU,SANI,RISASI…Bila kusahau habari inakuwa kwenye ukurasa wa kati kati
 
hakuonekana na bintiiiiii , hakuwahi kuiasi diniiiiii, mfuasi wa maadiliiiii iiiii lakini alikufa kwa ngoma , aliwarudisha waliopoteaaaa ....... chorus tamu sana 👌
 
Ukiniambie nitaje malejendari wa kike wa bongo fleva basi Judith Wambura atakua kwenye tatu bora
Natambua na kuheshimu sana muziki wake

Lakini binafsi sijawahi kumkubali kabisa na aina ya uimbaji wake naona kama anaimba kwaya vile[emoji23]
 
Back
Top Bottom