afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
Mh kuna watu siwaoni hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
21. Mzizi Mkavu20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied
Stay tunedMbona mimi umenisahau, drop jina moja kati ya hayo 20 uweke la kwangu, vinginevyo list iwe na watu 21.[/QUOTE
20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied
noted mkuu ni kweli mara chache kuingia siasani .hao uliowataja 95% ni maarufu katika majukwaa ya mapenzi,celebrities,picha,love connect,chitchat.
ungetakiwa ku-balance ungechukua jukwaa la siasa,international,elimukilimo na uvuvi.
Plus hii list naona ina watu ambao wana influence kwa muda mrefu...kwa 2016 mpaka sasa waliofanya mambo influential zaidi ni newcomers zaidi na wakongwe wachache...Kuna mtu anaitwa Bitoz Rais wa makapuku aliyeanzisha Makapuku Forum ikahit zaidi ya 20k in less than 2 weeks
with all due respect ,Uncleben ,General Galadudu, Mzee mwanakijiji ,,Asigwa , Lara 1 n.k Uchaguzi Urudiwe Maana hakuna Namna.
HahahahahahHamna kapuku hata mmoja, acheni hizo
[emoji4]Hamna kapuku hata mmoja, acheni hizo
mkuu ulitaka nimuweke Le Mutuz ?Ha ha ha, eti Warumi ni most influential! No wonder.
Na mimi mkuu....Plus hii list naona ina watu ambao wana influence kwa muda mrefu...kwa 2016 mpaka sasa waliofanya mambo influential zaidi ni newcomers zaidi na wakongwe wachache...
2016 mpaka sasa ni ya akina Monicca, Lara 1, Bitoz, Mohammed Said, The Boss n.k