20 most Influential JF members 2016

21. Mzizi Mkavu
22. Mzee Mwanakijiji
23. Pasco
24. Lara 1
25.???????????????......
 
Stay t
Mbona mimi umenisahau, drop jina moja kati ya hayo 20 uweke la kwangu, vinginevyo list iwe na watu 21.[/QUOTE
Stay tuned

All members watashirikishwa jina lako linaweza kuwa no. 1
 
hao uliowataja 95% ni maarufu katika majukwaa ya mapenzi,celebrities,picha,love connect,chitchat.
ungetakiwa ku-balance ungechukua jukwaa la siasa,international,elimukilimo na uvuvi.
 
hao uliowataja 95% ni maarufu katika majukwaa ya mapenzi,celebrities,picha,love connect,chitchat.
ungetakiwa ku-balance ungechukua jukwaa la siasa,international,elimukilimo na uvuvi.
noted mkuu ni kweli mara chache kuingia siasani .
 
Kuna mtu anaitwa Bitoz Rais wa makapuku aliyeanzisha Makapuku Forum ikahit zaidi ya 20k in less than 2 weeks
Plus hii list naona ina watu ambao wana influence kwa muda mrefu...kwa 2016 mpaka sasa waliofanya mambo influential zaidi ni newcomers zaidi na wakongwe wachache...
2016 mpaka sasa ni ya akina Monicca, Lara 1, Bitoz, Mohammed Said, The Boss n.k
 
Uncleben ,General Galadudu, Mzee mwanakijiji ,,Asigwa , Lara 1 n.k Uchaguzi Urudiwe Maana hakuna Namna.
with all due respect ,

Uchaguzi utarudiwa na members wote watashirikishwa , mshiriki atapangwa kulingana na kura atakazopata.
 
Plus hii list naona ina watu ambao wana influence kwa muda mrefu...kwa 2016 mpaka sasa waliofanya mambo influential zaidi ni newcomers zaidi na wakongwe wachache...
2016 mpaka sasa ni ya akina Monicca, Lara 1, Bitoz, Mohammed Said, The Boss n.k
Na mimi mkuu....
 
Kwa kuwa hii list inatoka kichwani mwako nimegundua wewe kutembelea majukwaa na mada za umbea umbea, uchawi, siasa na lile mapenzi ambayo hayo pia wengi hutembelea. Huwezi acha mtaja MTU Kama CHIEF MKWAWA ni msaada mkubwa Sana kule jukwaa teknolojia na sayansi, the most celeb atheist Kiranga mwenye maswali yenye chalenji ya kutosha kule jamii intelligence . hii list yako imebase kwenye hayo majukwaa na mada za namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…