20 most Influential JF members 2016

Kweli hauijui JF hao uliowataja ni wa kawaida sana na hawana influences yeyote....wengi ni wauza chai.
 

Ovyo [emoji25]
 
List inaongozwa na mshana jr , naona usalama upo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji23] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jamani mmeambiwa source ni kichwani chake sasa mnabisha nn au mpo kichwani kwake?guys camoon

Mkuu tatizo ni kwamba HAWAJATAJWA na kama ujuavyo KUTAJWA humu JF unatakiwa uwe na nyota ya JAHA ila ukiwa na nyota ya BUNDI utakuwa kila mara unatununia tu sisi wenye BAHATI zetu na MVUTO wetu. Kuna njemba humu zipo tokea mwaka 2009 , 2010 na 2012 tena ni JF Senior Expert Members lakini hawana KIKI ila wengine tunashangaa tuna miaka miwili na nusu sasa unaenda wa tatu humu JF TUNAJULIKANA na Watanzania wote hadi Diasporas huku wengine wakihangaika kututafuta ili mradi tu wapige SELFIES na sisi watuweke katika Simu na Computers zao. Ukikubalika JF ni HAKIKISHO tosha kuwa hata Mwenyezi Mungu ANAKUKUBALI na ANAKUPENDA. Nitoe tu RAI kwa wote mliotajwa hapo katika listi kuwa RINGENI kwani MNAKUBALIKA na mtazidi KUKUBALI. Mtakaonuna au mlionuna wote msituchukie tuliotajwa bali jueni kuwa TATIZO LENU ni NYOTA.
 
Haaaaa mngetajwa wote si ingekua balaa lols...

Leo sisi wengine mtatajwa siku nyingine lol

TATIZO NYOTA. Watatununia sana tuliotajwa ila wakubali tu kuwa wengine tuna UPAKO ULIOTUKUKA ambao unakufanya UKUBALIKE tu popote na kwa yoyote hata kama unachokifanya ni cha KIPUUZI.
 
Dah.. list fake hiyo kama MM hayupo na operesheni yake ya ZINDUKA [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…