Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Hii list bila shaka imeandaliwa na Mkuu wa Mapopoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malila anatishajaribu kuwaweka katika cartegory maana kwetu sisi wakulima list yako haitakuwa na maana bila kuwepo Malila
Kabisa mkuuHapa ndiyo nimeamini kwamba kuna tofauti kati ya kusoma na kukaa sana darasani.
Asante mama.Kabisa mkuu
Wanajitaftia stress za bure kabisa....Hii list bila shaka imeandaliwa na Mkuu wa Mapopoma
Duuuuu !Mbona mimi umenisahau, drop jina moja kati ya hayo 20 uweke la kwangu, vinginevyo list iwe na watu 21.
Kwa Akili Yangu,I thought utawataja na hawa
1.Mshana Jr
2.Kiranga
3.Hoe
4.Lara 1
5.Pasco
6.Nyani Ngabu
7.Warumi
8.Miss Chagga
9.Mzizi Mkavu
10.Deception
11.Mzee Mwanakijiji
Nk
faiza foxy, mbona simuoni?
Hahaha,Influencial kwa maana gani?
Amekuenfluence katika kitu gani? Kuna watu wawili wamesababisha nibadili kabisa mwelekeo wa maisha yangu... Kiranga bhana Kiranga, amenisababisha nitafakari sana, nisome vitabu vingi sana, na hatimae nikaibuka na hitimisho kwamba Mungu hayupo. Deception amesababisha baada ya kufanya viuchunguzi na viutafiti vyangu, nikafuatilia historia yote ya HIV/AIDS, nimethibitisha pasipokuwa na chembe ya shaka kuwa hakuna HIV/AIDS, sasa hivi nishasahau kondomu zinauzwaje, nakula raha kinoma... Amani kwao watu hawa.
Dah, we hatari.Nitawajadili member moja moja sifa zao na ni kitu gani kimekufanya uamini wao ni most influential Jf members kwako
Kwanza wewe ni mpenzi wa udaku
1)Mshana Jr
Huyu ni member mwenye tabia za kishirikina na michango yake mingi imebase kwenye uchawi na ulozi, waafrika hata tuwe watu Wa dini vipi hatuwezi kuacha asili yetu ya ushirikina ndio maana huyu mtu amepata wafuasi wengi
2)Nyani Ngabu
Huyu ni member mkongwe Sana na hana michango ya kufanya mtu umsikilize but kwa jinsi watu wanavyoamini yupo USA basi wanampa credit nyingi sana na kumuogopa,watz ujinga wao mtu ukitoka nje ya nchi watakuogopa Sana
3)Matola
Huyu nae ni mkongwe mwanzoni alikuwa ana mambo mengi mapya ya kujifunza kutoka kwake but now days anaonekana kama ana stress nyingi kutokana na maadui aliokuwa nao hapa Jf
4)Eveline salt, Heaven on earth na miss chaga
Hawa ni watu maarufu kule MMU na wanafanana maana inaonekana wote ni nyani wazee waliokoswa koswa na mishale mingi na kupigana vita zote za dunia wanasubir ya mwisho tu pia michango yao mingi wanajiamin kuliko wanaume
5)Faizafoxy
Huyu inasemekana ni Bibi, michango yake mingi iliyompa kick ni hile ya kupinga mfumo Kristo na kutetea wahabism ingawa ni ccm
Kuna vimsemo vingi amevianzisha kama punguani wahedi na pia amekuwa kifimbo cheza hapa Jf
6)Warumi
Huyu ni maarufu sana kule celebrity na mpaka Leo sijuagi jinsia yake (aishakum si matusi) kutokana na michango yake na jinsi vidume vinavyomshambulia kwa kumuona ana tabia za kike ingawa ID yake ni kama masculine
7)Bujibuji
Huyu ni member mwenye masihara sana na ni mchekeshaji mzuri sana ingawa siku hizi amekuwa adimu na wala hachekeshi tena,bosi wangu amewai kuniambia wewe itakuwa ndio bujibuji wa Jf tulicheka sana
8)Gentamycine
Huyu ni member ambaye inasemekana alikuwa na ID ambayo ilinyanyaswa sana hapa Jf ndipo alipohamua kuja na hii ID mpya ya kibabe ambapo mpaka sasa hivi sijaona mtu aliyewahi kumshinda katika vita ya maneno,kejeli na mtusi labda tumpambanishe na yule kilopo lopa Lara 1
9)Nifah na Mamndenyi
Hawa ni wadada wanaoeshimu sana utu wao na Wa watu wengine na hawana makuu kule mmu
Social forum ndio sehemu pekee hata mtoto Mdogo au kichaa anaweza kuandika chochote bila kupata upinzani wowote kwa kisingizio cha this is free country.