Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Le Bilionea mwili-nyumba mbona hayumo kwenye list..!20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Ruttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied
Imebidi nicheke tuMkuu tatizo ni kwamba HAWAJATAJWA na kama ujuavyo KUTAJWA humu JF unatakiwa uwe na nyota ya JAHA ila ukiwa na nyota ya BUNDI utakuwa kila mara unatununia tu sisi wenye BAHATI zetu na MVUTO wetu. Kuna njemba humu zipo tokea mwaka 2009 , 2010 na 2012 tena ni JF Senior Expert Members lakini hawana KIKI ila wengine tunashangaa tuna miaka miwili na nusu sasa unaenda wa tatu humu JF TUNAJULIKANA na Watanzania wote hadi Diasporas huku wengine wakihangaika kututafuta ili mradi tu wapige SELFIES na sisi watuweke katika Simu na Computers zao. Ukikubalika JF ni HAKIKISHO tosha kuwa hata Mwenyezi Mungu ANAKUKUBALI na ANAKUPENDA. Nitoe tu RAI kwa wote mliotajwa hapo katika listi kuwa RINGENI kwani MNAKUBALIKA na mtazidi KUKUBALI. Mtakaonuna au mlionuna wote msituchukie tuliotajwa bali jueni kuwa TATIZO LENU ni NYOTA.
yaelekea mm sina mguso na thread zangu za kuwachoma hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaMzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Mwita Maranya, Mohamed Said, ASHA dii, lara 1 wana mguso wa kipekee JF
ndo nashanggaaa hata mm kutomkuweka mutambuzi mwenye mvuto wa wengi humu inashaaaa
Kapotelea wapi huyu kiumbe?Rejao
List yako hajakamilika bila preta20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Ruttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied
Mzizi mkavu, pasco, Mzee mwanakijiji, maxence melo, mshana Jr, nyani gandu, kiranga
Subiri na mimi niandae list yangu
Mains ladyfurahia??ndo nashanggaaa hata mm kutomkuweka mutambuzi mwenye mvuto wa wengi humu inashaaaa
Namba kumi na tatu uwa ninamkubali sana20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Ruttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied