20% na Kili Awards

20% na Kili Awards

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
huyu jamaa yuko simple sana na mziki wake unaeleweka hapa tayari kabeba tuzo 4 za kili mpaka sasa. kuangalia tweeter na fb naona watu wengi hawakubali...why?
 
huyu jamaa yuko simple sana na mziki wake unaeleweka hapa tayari kabeba tuzo 4 za kili mpaka sasa. kuangalia tweeter na fb naona watu wengi hawakubali...why?
Wasiokubali ni watoto wajingawajinga ambao wanapenda nyimbo za kurembua macho...
Unategemea watoto wa Fb WATAPENDA MTU ANAYEWACHANA KUWA "tamaa mbaya"?...
20% kumlinganisha na wanabongofleva wengine ni kama kulinganisha mbingu na ardhi!
 
Tuzo 5 ndani ya usiku na tukio moja ucpime 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20%
 
Mbona mi naona mitandao yote anakubalika sn? Huyu jamaa anastahili hizo tuzo 5 aisee! Hapa hakuna uchakachuaji wa kura...
 
20% kabeba tuzo TANO. nakubali sana muziki wa huyu Dogo. Mashairi yake yana Ujumbe, Midundo ya nyimbo zake ni ya Kiafrika, etc etc.
Big Up 20%
 
20% anatisha yupo juu anastahili kupata tuzo zote 5 big up mlioshirik kumpigia kura
 
kumbuka watz ndo waliompigia kura so uproduza na uimbaji ni kitu tofauti big up asilimia ishirini
 
Namfagilia asilimia ishirini kwa asilimia mia moja!Hongera zake..
 
nami naongezea 20%,20%,20%.........:first::second::third:
 
Mdau mitandao gani haWakubali? Mbona watu wengi wamemkubalI sana tU...na hata wakati wa tuzo kila akitajwa kelele za mashabiki ilikuwa usipime? check Out vzr...
 
Huyu kijana anastahili kabisa wanaompinga ni sharobaros, Yuko simple but message za ukweli . Anareflect maisha halisi. "Yanini malumbano yanini maneno bora nitulie nipate changu na mie......" full busara.
 
Back
Top Bottom