20 Percent awachana Cloud Fm

20 Percent awachana Cloud Fm

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,252
Moja ya kipande chake cha ngoma mpya inaonekana 20 Percent akiwachana kiaina Clouds Fm kwa kuwaaambia ukitaka kudhalilishwa Nenda Clouds hata Sketi watakuambia uvae.kwa Mwendo huu sijui kama tutafika
 

Attachments

Anatafuta kiki tu huyo ili aitwe kisha atubu wanze kumpa promo kwa kumuonea huruma
 
Arudi kwenye gemu haraka sana,mimi ni mmoja wa walio-miss nyimbo zake.
 
Back
Top Bottom