ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Yaani huyu Polisi jamii Afande Sele haoni kama kavaa miguuni papa na nguru?Aulizwe Afande Sele!
Niambie koma wewe20% anaozea jela congo, alikamatwa na bwimbi aka powder akivuka nalo boda. ...He is behind bar doing xxyrs in prison.
Jamaa ni msanii mwenye kipaji sema pombe na marafiki aliokuwa anashinda nao ndio walimpoteza kwenye ramani ya bongofleva
Uongo huo.!20% anaozea jela congo, alikamatwa na bwimbi aka powder akivuka nalo boda. ...He is behind bar doing xxyrs in prison.
Haya mambo yanaonyesha jinsi Afande alivyompoteza kabisa mwenzakeYaani huyu Polisi jamii Afande Sele haoni kama kavaa miguuni papa na nguru?
Kondoo mmoja kashindwa kumchunga, Je angeweza kuilinda na kuichunga Moro mjini yote?Haya mambo yanaonyesha jinsi Afande alivyompoteza kabisa mwenzake
Naam hii ni ishara tosha vile viatu visingemtoshaKondoo mmoja kashindwa kumchunga, Je angeweza kuilinda na kuichunga Moro mjini yote?
Ndio kiyoo cha jamiii uyo? Dah anyway anatuwakilisha watz kwa hilo.Ila nadhani itakua ili midude imepanda kichwani ye anaona kavaa simple white chata ya nikeYaani huyu Polisi jamii Afande Sele haoni kama kavaa miguuni papa na nguru?
Yupo jela dhamana unayo umsaidie?Wana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini MALUMBANO. Mara ya mwisho kumsikia ni 2013.
Niambie koma wewe
Basi atakuwa ametoka alifungwa mda mrefu sana tangia JK bado prezdent ilikuwa imefanywa siri.Uongo huo.!