chigulubedu
Senior Member
- Jul 3, 2016
- 125
- 74
Abass Kinzasa kile ni kichwa. Wimbo wake wa Sitaki Malumbano ulikuwa bomba sana. Karibu tena 20%.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliBasi atakuwa ametoka alifungwa mda mrefu sana tangia JK bado prezdent ilikuwa imefanywa siri.
Hehe afwande sele ndo alitaka kugombea ubunge[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Jamaa ni msanii mwenye kipaji sema pombe na marafiki aliokuwa anashinda nao ndio walimpoteza kwenye ramani ya bongofleva![]()
duu hali si nzuri kabisa, kandambiliJamaa ni msanii mwenye kipaji sema pombe na marafiki aliokuwa anashinda nao ndio walimpoteza kwenye ramani ya bongofleva![]()
TUPO NAE CHIMBOWana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini MALUMBANO. Mara ya mwisho kumsikia ni 2013.
Mnafanya manini mnapuliza vinu aka moshi aka cha arushaTUPO NAE CHIMBO