20 Percent: Kiko wapi hiki kichwa?

20 Percent: Kiko wapi hiki kichwa?

Abass Kinzasa kile ni kichwa. Wimbo wake wa Sitaki Malumbano ulikuwa bomba sana. Karibu tena 20%.
 
Jamaa ni msanii mwenye kipaji sema pombe na marafiki aliokuwa anashinda nao ndio walimpoteza kwenye ramani ya bongofleva
583117766eba1fb02e1f03ff0b8c8078.jpg
Hehe afwande sele ndo alitaka kugombea ubunge[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Daa arudi tena TWENTY PERCENT,nimemisi sana ngoma zake zilizojaa mafunzo mwanzo mwisho.
 
Wana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini MALUMBANO. Mara ya mwisho kumsikia ni 2013.
TUPO NAE CHIMBO
 
Yuko kimanzichana kwao,kachoka tu,tunae daily,msidanganyane.mimi nafanya kazi kimanzi nina uhakika na ninachoandika.
 
Back
Top Bottom