20 Percent: Siwezi kuongelea majina ya wasanii wanaofanya vizuri mpaka nao waanze kuniongelea mimi

20 Percent: Siwezi kuongelea majina ya wasanii wanaofanya vizuri mpaka nao waanze kuniongelea mimi

AMRUDIE MANIWATER WAPATANE..BADO MZIKI WAKE UKO UNIQUE ATATOBOA...SIJUI MAN-WALTER ANA NINI UKIMZINGUA LAZIMA UPOTEE..MCHEKI KIBA
Kwamba alikiba kapotea !?? Duuhh!! Huku mitandaoni tunalishana sana matango pori kmmk
 
Huyo jamaa sitosahau kituko alichofanya pale msamvu Moro

Alikuwa kwenye Basi la NBS sijui anaenda mwanza sijui tabora ile

Basi bwana watu wakajua Yuko ndani ya lile Basi halafu ndo alikuwa katoka kuzilamba zile tuzo 5

Ebwanee watu wakashangalja vibaya sana pale msamvu si akatoa matako yake dirishani hakuvaa chupi tundu linaonekana akaanza zungusha duuuuh[emoji15][emoji15][emoji15] nikaamini kweli bangi noma

Gari ikasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
nawameshawai kuvua nguo yeye na Afande sele MCHANA KWEUPE walikula virungu balaa
 
mzee acha kufananisha mmea na mambo ya kijinga....unamjua bob weye...wazungu wenyewe wamejua faida ya mmea na kuamua uruhusu kwa maraia...20% kinamcost pombe za kienyeji

Usipingane na mwenyewe!
 
Kwamba alikiba kapotea !?? Duuhh!! Huku mitandaoni tunalishana sana matango pori kmmk
Sina Team...ila sasa zima clouds mwezi tu nambie kama jamaa yako atapigwa redio nyengine..angalia hata stream za mitandaoni zinasemaje...Dogo alirelax na mda ndo unamkimbia
 
AMRUDIE MANIWATER WAPATANE..BADO MZIKI WAKE UKO UNIQUE ATATOBOA...SIJUI MAN-WALTER ANA NINI UKIMZINGUA LAZIMA UPOTEE..MCHEKI KIBA
Alikiba hajapotea yupo bado hukuona nyomi la kigoma, halafu inaelekea aliondoka kwa man walter maana alikuwa anamtengenezea masebene ambayo nahisi hakuwa anayapenda maana ilikuwa haijulikani anaimba dansi au bongo fleva, na toka atoke kwa man walter hatoi masebene tena.
 
JAMAA NI KICHWA SANA.
NI MSANII PEKEE ANAYEITUMIA FASIHI MPAKA KWENYE MAONGEZI AKIFUATIWA NA CHID BENZ.
MWANDISHI:Utajisikiaje siku ukipata fursa ya kuimba na harmonize?
20 PERCENT:Kuimba na harmonize sio fursa kwangu.
MWANDISHI:Mbona inaonekana siku hizi upo kimya sana?
20 PERCENT:Ukiona sijaongea ujue sijaongeleshwa,utaongea bila kuongeleshwa?wewe mtangazaji utakuwa una ugonjwa wa nguvu,uongee tu bila kuongeleshwa!
MWANDISHI:Inasemekana siku hizi hauna hela?
20 PERCENT:Wewe una hela?nani anaziona hela zako mfukoni?kuna mtu aliyechungulia mifuko yangu?
MWANDISHI ALIINGIZWA CHAKA VIBAYA NILICHEKA SANA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikiba hajapotea yupo bado hukuona nyomi la kigoma, halafu inaelekea aliondoka kwa man walter maana alikuwa anamtengenezea masebene ambayo nahisi hakuwa anayapenda maana ilikuwa haijulikani anaimba dansi au bongo fleva, na toka atoke kwa man walter hatoi masebene tena.
hivi kuna mziki ambao umempa alikiba wafuasi wa rika zote zaidi ya masebene...na swala la kujaza hata juzi 20% alishangiliwa sana uwanja wa taifa haimaanishi anafanya vizuri
 
hivi kuna mziki ambao umempa alikiba wafuasi wa rika zote zaidi ya masebene...na swala la kujaza hata juzi 20% alishangiliwa sana uwanja wa taifa haimaanishi anafanya vizuri
Wale watu hawakuja kumuona 20%, lakini Kigoma walikuja kwa ajili ya show ya Kiba that means walimfuata yeye. Inaelekea aliyachoka tu maana naona hafanyi masebene tena.
 
Kwamba alikiba kapotea !?? Duuhh!! Huku mitandaoni tunalishana sana matango pori kmmk
Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa Alikiba haimbi mziki wa kushindana na wala hatumii nguvu kuimba.
Ni mtu ambaye nusu yupo kwenye mziki na nusu yupo kwenye jamii yake pamoja na familia.
Pia ana hofu ya mungu hapendi kutumia nguvu nyingi mwisho wa siku aingie kwenye ushetani na kukufuru.
 
Huyo jamaa sitosahau kituko alichofanya pale msamvu Moro

Alikuwa kwenye Basi la NBS sijui anaenda mwanza sijui tabora ile

Basi bwana watu wakajua Yuko ndani ya lile Basi halafu ndo alikuwa katoka kuzilamba zile tuzo 5

Ebwanee watu wakashangalja vibaya sana pale msamvu si akatoa matako yake dirishani hakuvaa chupi tundu linaonekana akaanza zungusha duuuuh[emoji15][emoji15][emoji15] nikaamini kweli bangi noma

Gari ikasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiih
 
Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa Alikiba haimbi mziki wa kushindana na wala hatumii nguvu kuimba.
Ni mtu ambaye nusu yupo kwenye mziki na nusu yupo kwenye jamii yake pamoja na familia.
Pia ana hofu ya mungu hapendi kutumia nguvu nyingi mwisho wa siku aingie kwenye ushetani na kukufuru.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Baada ya kimya cha muda mrefu Mwanamuziki 20 Percent aliibukia na kutumbuiza katika tamasha la Chama cha Mapinduzi lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru siku ya Jumamosi. Katika tamasha hilo mwanamuziki huyu alionekana kukonga nyonyo za mashabiki na kupata shangwe la kutosha katika nyimbo zake hasa kutokana na msanii huyo kuja na Mama Neema, mwanamke ambaye aliigiza naye filamu pamoja na kumuimba wimbo maarufu uitwao "Mama Neema" .

Baada ya kumaliza kutumbuiza Mwanamuziki 20 Percent alipata nafasi ya kuhojiwa na Waandishi wa habari. Katika mahojiano hayo Mwanamuziki huyu alieleza mambo mbalimbali.

Alipoulizwa amejisikiaje baada ya kukaa kimya muda mrefu lakini aliporudi kutumbuiza aliweza kukonga nyoyo za watu na kushangiliwa sana 20 percent alisema kuwa jambo hilo linaonesha kuwa bado mashabiki wake wana upendo naye na bado anaishi mioyoni mwao.

Aidha, Walipomuuliza kuhusu suala la kurejea katika Muziki Mwanamziki 20 Percent alisema yeye bado anaendelea kufanya muziki m,uda wote labda kama wao ndio wameacha kumuona. Na pia, pamoja na kukaa kimya lakini bado watu wanampenda na hawajampotezea kwani bado wanaishi na nyimbo kama Mama Neema, Tamaa Mbaya na Yanini Malumbano. Ameongeza kuwa, kutokana na Shangwe alilopata katika tamasha hilo ameona kuna umuhimu wa kurejea tena katika muziki kwa sababu kukaa kimya pia ni muziki mzuri.

Wakihoji kuwa kutokana na mabadiliko ya muziki wa sasa akirejea atabadilika au ataendelea kufanya muziki wake wa zamani, 20 Percent ameahidi kurejea na kuleta muziki wa heshima na kukimbiza muziki wa matusi ambao umetawala kwa sasa. Amesema, "Watu wanavyoona 20 Percent narudi kwenye gemu wanajiandaa kuimba vizuri".

Aidha, wakihoji kuhusu kufanya muziki kuendana na soko la sasa, 20 Percent amesema Mimi silengi soko, nalenga fikra za mlalahoi na mtu yoyote ambaye huzuni yake ipo na hamna mtu wa kuiongelea.

Zaidi ya hayo, waandishi wa habari walipomtaka 20 Percent awataje wasanii wa sasa ambao anaona wanafanya vizuri alisema hawezi kuwataja wasanii hao mpaka pale watakapoanza kumuongelea yeye.

20 Percent amewashauri wasanii Kuacha kuimba kuhusu maisha yao binafsi na wajikite kuimba na kukuza fikra. amewataka wasanii waisaidie jamii kukuwa kifikra. Wawafanye mashabiki washabikie fikra zao na sio kuanza kushabikia maisha yao binafsi.

Huyu jamaa ana hisia sana na anatumia vizuri sana akili zake kifikra
 
JAMAA NI KICHWA SANA.
NI MSANII PEKEE ANAYEITUMIA FASIHI MPAKA KWENYE MAONGEZI AKIFUATIWA NA CHID BENZ.
MWANDISHI:Utajisikiaje siku ukipata fursa ya kuimba na harmonize?
20 PERCENT:Kuimba na harmonize sio fursa kwangu.
MWANDISHI:Mbona inaonekana siku hizi upo kimya sana?
20 PERCENT:Ukiona sijaongea ujue sijaongeleshwa,utaongea bila kuongeleshwa?wewe mtangazaji utakuwa una ugonjwa wa nguvu,uongee tu bila kuongeleshwa!
MWANDISHI:Inasemekana siku hizi hauna hela?
20 PERCENT:Wewe una hela?nani anaziona hela zako mfukoni?kuna mtu aliyechungulia mifuko yangu?
MWANDISHI ALIINGIZWA CHAKA VIBAYA NILICHEKA SANA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Noma hao jamaa😂😂😂
 
Back
Top Bottom