20 Percent: Siwezi kuongelea majina ya wasanii wanaofanya vizuri mpaka nao waanze kuniongelea mimi

AMRUDIE MANIWATER WAPATANE..BADO MZIKI WAKE UKO UNIQUE ATATOBOA...SIJUI MAN-WALTER ANA NINI UKIMZINGUA LAZIMA UPOTEE..MCHEKI KIBA
Kwamba alikiba kapotea !?? Duuhh!! Huku mitandaoni tunalishana sana matango pori kmmk
 
nawameshawai kuvua nguo yeye na Afande sele MCHANA KWEUPE walikula virungu balaa
 
mzee acha kufananisha mmea na mambo ya kijinga....unamjua bob weye...wazungu wenyewe wamejua faida ya mmea na kuamua uruhusu kwa maraia...20% kinamcost pombe za kienyeji

Usipingane na mwenyewe!
 
Kwamba alikiba kapotea !?? Duuhh!! Huku mitandaoni tunalishana sana matango pori kmmk
Sina Team...ila sasa zima clouds mwezi tu nambie kama jamaa yako atapigwa redio nyengine..angalia hata stream za mitandaoni zinasemaje...Dogo alirelax na mda ndo unamkimbia
 
AMRUDIE MANIWATER WAPATANE..BADO MZIKI WAKE UKO UNIQUE ATATOBOA...SIJUI MAN-WALTER ANA NINI UKIMZINGUA LAZIMA UPOTEE..MCHEKI KIBA
Alikiba hajapotea yupo bado hukuona nyomi la kigoma, halafu inaelekea aliondoka kwa man walter maana alikuwa anamtengenezea masebene ambayo nahisi hakuwa anayapenda maana ilikuwa haijulikani anaimba dansi au bongo fleva, na toka atoke kwa man walter hatoi masebene tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi kuna mziki ambao umempa alikiba wafuasi wa rika zote zaidi ya masebene...na swala la kujaza hata juzi 20% alishangiliwa sana uwanja wa taifa haimaanishi anafanya vizuri
 
hivi kuna mziki ambao umempa alikiba wafuasi wa rika zote zaidi ya masebene...na swala la kujaza hata juzi 20% alishangiliwa sana uwanja wa taifa haimaanishi anafanya vizuri
Wale watu hawakuja kumuona 20%, lakini Kigoma walikuja kwa ajili ya show ya Kiba that means walimfuata yeye. Inaelekea aliyachoka tu maana naona hafanyi masebene tena.
 
Kwamba alikiba kapotea !?? Duuhh!! Huku mitandaoni tunalishana sana matango pori kmmk
Kuna kitu watu wanashindwa kuelewa Alikiba haimbi mziki wa kushindana na wala hatumii nguvu kuimba.
Ni mtu ambaye nusu yupo kwenye mziki na nusu yupo kwenye jamii yake pamoja na familia.
Pia ana hofu ya mungu hapendi kutumia nguvu nyingi mwisho wa siku aingie kwenye ushetani na kukufuru.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiih
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Huyu jamaa ana hisia sana na anatumia vizuri sana akili zake kifikra
 
Noma hao jamaa😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…