20 percent

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
"Ni kweli nimefilisika lakini sikosi pesa ya kula, nimefilisika zaidi kwenye muziki na hii inatokana na watu walivyoubadilisha muziki. Tofauti na taarifa zinazosambaa huko mitaani kwamba nakosa pakulala na wala sina pesa ya kula, sio kweli" - Twenty Percent

"Nina mashamba Mwanza na Morogoro, nina kibanda changu nyumbani kwetu na mimi kuishi kwenye nyumba ya kupanga sijaanza leo, tangu enzi hizo nimekuwa nikiishi kwenye nyumba ya kupanga" - Twenty Percent

"Nikiamua kuwa kichaa kama walivyo wao naweza nikawa staa mkubwa zaidi yao, ila mimi sipendi njia za mkato. Freemason walishanifuata mara tatu wakitaka nijiunge na chama chao nifanikiwe haraka, lakini nilikataa kufanikiwa kwa kutumia njia hizo

"Baada ya shetani kutuma wapambe wake kuja kunishawishi sasa ameamua kuja mwenyewe, matatizo hayaishi kwenye familia yangu na nakumbuka waliwahi kuniambia ukichoka kuteseka utasema" - Twenty Percent
ukwaju_wa_ kitambo

0767 542 202

 
Wangeruhusu tu bangi kwa sababu naamini bangi yenyewe siyo mbaya ila kule kuvuta kwa kujifichaficha mara mtu akavutie chooni mara ajibanze sehemu anavuta huku anachungulia chungulia kama kuna watu wanamuona ndiyo tatizo hivyo kufanya wavutaji wengi kuvurugwa.
 
keshafeli kusema mambo ya freemason huyo alifatwa na matapeli tu!,hawa watu wanaotumia mjani wakuangalia sana hawa..πŸ˜…
Kwanini mkuu. Mbona natumia hiyo kitu since then na Familia ipo kamili Gado.Naitumia sana nikiwa nafanya Meditation/Tahajudi na ni Tiba nzuri sana. Sigara na Pombe nimewaachia nyie Mfe Taratibu
 
Hiyo story ya kufuatwa na Freemasons.. Kuna dada x aliwai kunisimulia na kujitabanaisha kwamba anamfaham 20% ile saana
 
keshafeli kusema mambo ya freemason huyo alifatwa na matapeli tu!,hawa watu wanaotumia mjani wakuangalia sana hawa..πŸ˜…
Hasa jani lenyewe ukienda kulipuliza chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…