ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
"Ni kweli nimefilisika lakini sikosi pesa ya kula, nimefilisika zaidi kwenye muziki na hii inatokana na watu walivyoubadilisha muziki. Tofauti na taarifa zinazosambaa huko mitaani kwamba nakosa pakulala na wala sina pesa ya kula, sio kweli" - Twenty Percent
"Nina mashamba Mwanza na Morogoro, nina kibanda changu nyumbani kwetu na mimi kuishi kwenye nyumba ya kupanga sijaanza leo, tangu enzi hizo nimekuwa nikiishi kwenye nyumba ya kupanga" - Twenty Percent
"Nikiamua kuwa kichaa kama walivyo wao naweza nikawa staa mkubwa zaidi yao, ila mimi sipendi njia za mkato. Freemason walishanifuata mara tatu wakitaka nijiunge na chama chao nifanikiwe haraka, lakini nilikataa kufanikiwa kwa kutumia njia hizo
"Baada ya shetani kutuma wapambe wake kuja kunishawishi sasa ameamua kuja mwenyewe, matatizo hayaishi kwenye familia yangu na nakumbuka waliwahi kuniambia ukichoka kuteseka utasema" - Twenty Percent
ukwaju_wa_ kitambo
0767 542 202