20 septemba

20 septemba

Faymario

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
23
Reaction score
1
Jamani nilisikia kwamba leo bodi ya mikopo ingetoa tamko la mwisho au majina mengine ya waliopata mkopo,kuna anaejua nini kinaendelea,naomba anijulishe
 
Kaka hakuna kunachoendelea na msipochukua hatua sasa hivi basi mnaweza kuanza chuo na bado mambo yasieleweke.......mngejipanga na kuwapelekea hayo malalamiko palepale ofisini kwao kama mpo dar."you don't have to beg someone to give you what yours,if your a man take it."
 
Nilichokiona ni Idadi ya waliokosa mkopo kuendelea kuongezeka na sasa imefikia 58elfu na kidogo napata na mstuko kuona namba inaongezeka tofauti na idadi iliyotajwa hapo awali. Wadau wanaJF hii imekaaje?
 
Imekaa kihuni....yani ccm ni wahuni waliokubuhu!!
 
hapa sasa mi naona bora waseme kama hauna mtu wakukushika mkono wewe atausiangaike kuomba maana haina maana yoyote ya watu kukosa mkopo..
 
Back
Top Bottom