S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 85
nina zaidi ya sababu 20 ila naona tunasukuma siku..hapigi simu wala sms,agrrr!!..tatizo kupenda,lol
How to recover the dead love?haswaaaa hot to recover a dead love,maana moto umezima kabisaaa :mad2:
duh nashindwa hata kuchangia natamani haya mapenzi yasingekuwepo naona wengine yametuzeesha na presha ndani yake sijui ndo huwa tunapenda sana au tuna matatizo maana unayempenda ndo kwanza mh kama haupo vile
upendo hau-hesabu mabaya...mie siamini katika hayo uliyoyataja kuwa ni dalili ya mapenzi kuisha/kufa sema mapenzi kama "kiumbe chochote" huzaliwa, hukua, hufa na kwa wakristo tunaoamini katika ufufuko...pia mapenzi nayo hufufuka.... adui mkubwa wa mapenzi ni kuhesabu maovu/mabaya yoyote yanayofanywa na mwenzi-wako.
mie mbahili na thanks zangu:becky::glasses-nerdy:
anyway,nimeshampa kamoja kake ...:becky:
he really deserve it!:A S 8:
afu kaizer nakuogopa....
umekaa kuteta teta hivi,
:glasses-nerdy:
[*]You say I love you but dont mean it[/FONT][/SIZE]
- Hii inahitaji mjadala kweli? kuweni wakweli tu hapa... ha ha
WC , umesema mpenzi hufufuka, fafanua basi vizuri jamani I want my ex back nampenda sana
mie mbahili na thanks zangu:becky::glasses-nerdy:
anyway,nimeshampa kamoja kake ...:becky:
he really deserve it!:A S 8:
afu kaizer nakuogopa....
umekaa kuteta teta hivi,
:glasses-nerdy:
Asante mkuu kwa tafsiri murua,
Mi huwa najiulizaga hivi wazee wetu walikuwa wansemaje I love you kwa kilugha cha kwao.....kisukuma, kipare, kimachinga, kiyao, kingoni, kinyakyusa?
au ilikuwa inaenda automatic?
Halafu jengine....kipi bora, kusema I love you mara nyiingi huku humaanishi au kuisema kabisa ukiwa unamaanisha kwa wakati na mahali muafaka?
nadhani mtu kama mnapendana basi matendo yanaonyesha tu, mambo mengine unaweza kujichanganya bure kudhani upo nje ya mstari kumbe bado...
halafu hapo shosti umeongea ..........kakalia kama keshawahi kufanya kazi jeshini au kuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi :confused2:
hivi wazee wa zamani walikuwa hawajui mapenzi au mapenzi pia ni lazima yende na wakati?
Thats a good observation Gaijin,
Maoni yangu ni kwamba, mapenzi walikuwa wanayajua, ila sio kwa muktadha huu wa sasa ambao kwa sehemu kumbwa unaonekana kulandana na aina ya mapenzi ya wenzetu wazungu wanayoyaishi,
Maana mababu zetu enzi hizo wakioa wake hadi wanne na wote wakaa kwenye mji mmoja husikii chokochoko.....sasa hili kwa wenzetu lingekuwa gumu kweli kweli,
Kusema mapenzi yaende na wakati bado sidhani kama ni sawa hasa kwa maana ya mapenzi yenyewe...sana sana mi nauona wakati wetu kama amba unafisadi mapenzi na kutongezea wasi wasi mkubwa kutokana na mwingiliano wa tamaduni ambazo nyengine ni muflis,
na hivi ukiona kilemba kimelowa, ujue kikoi ki taabani,:becky:
(sasa sijui haya unayaendorse kwa muktadha wa NN au wa Kiranga?)[/QUOTE]
kwa namna hayo maneno ya buluu yalivyokuwa on point lazima niya endorse kwa mujibu wa both NN na Kiranga 🙂
Sielewi kule mwanzo mwana jf Ameuliza unaweza kufufua mapenzi ulikua unauliza swali au ulitaka watu wajadili mwana JF?Maana chini tena umesema yamekuwa yesu yafufuke?msitumie dini kuongelea mambo ya malove kwani kwa Yesu kila kitu kinawezekana,hata kuzaliwa upya mapenzi kwa kumtanguliza mwenyenzi Mungu inawezekana IMANI tu..:smile-big: