20 signs that Relationship is DEAD!

20 signs that Relationship is DEAD!

duh nashindwa hata kuchangia natamani haya mapenzi yasingekuwepo naona wengine yametuzeesha na presha ndani yake sijui ndo huwa tunapenda sana au tuna matatizo maana unayempenda ndo kwanza mh kama haupo vile
 
...pole sana. Dalili za kifo cha mapenzi ni 'symptoms' tu za 'ugonjwa.'
Lazima kuna sababu ya/za msingi zilizopelekea 'mgonjwa' adhurike, kiasi cha kuanza kuonyesha dalili hizi.

Unatakiwa kutibu ugonjwa, sio dalili za ugonjwa. Ndio maana nimewajibu kina ''TABU'' hapo juu,...
yeshakufa hayo.
 
upendo hau-hesabu mabaya...mie siamini katika hayo uliyoyataja kuwa ni dalili ya mapenzi kuisha/kufa sema mapenzi kama "kiumbe chochote" huzaliwa, hukua, hufa na kwa wakristo tunaoamini katika ufufuko...pia mapenzi nayo hufufuka.... adui mkubwa wa mapenzi ni kuhesabu maovu/mabaya yoyote yanayofanywa na mwenzi-wako.

WC , umesema mpenzi hufufuka, fafanua basi vizuri jamani I want my ex back nampenda sana
 
mie mbahili na thanks zangu:becky::glasses-nerdy:

anyway,nimeshampa kamoja kake ...:becky:

he really deserve it!:A S 8:

afu kaizer nakuogopa....

umekaa kuteta teta hivi,

:glasses-nerdy:

:coffee::coffee::coffee:
 
[*]You say “I love you” but don’t mean it[/FONT][/SIZE]
- Hii inahitaji mjadala kweli? kuweni wakweli tu hapa... ha ha

Asante mkuu kwa tafsiri murua,

Mi huwa najiulizaga hivi wazee wetu walikuwa wansemaje I love you kwa kilugha cha kwao.....kisukuma, kipare, kimachinga, kiyao, kingoni, kinyakyusa?

au ilikuwa inaenda automatic?

Halafu jengine....kipi bora, kusema I love you mara nyiingi huku humaanishi au kuisema kabisa ukiwa unamaanisha kwa wakati na mahali muafaka?

nadhani mtu kama mnapendana basi matendo yanaonyesha tu, mambo mengine unaweza kujichanganya bure kudhani upo nje ya mstari kumbe bado...
 
WC , umesema mpenzi hufufuka, fafanua basi vizuri jamani I want my ex back nampenda sana

Nadhani alimaanisha kukufuka kama mtu aliyekufa akafufuka, na mapenzi ndo ivo ukimpata mtu mfufuaji basi atayafufua tu
 
mie mbahili na thanks zangu:becky::glasses-nerdy:

anyway,nimeshampa kamoja kake ...:becky:

he really deserve it!:A S 8:

afu kaizer nakuogopa....

umekaa kuteta teta hivi,

:glasses-nerdy:

halafu hapo shosti umeongea ..........kakalia kama keshawahi kufanya kazi jeshini au kuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi :confused2:
 
Asante mkuu kwa tafsiri murua,

Mi huwa najiulizaga hivi wazee wetu walikuwa wansemaje I love you kwa kilugha cha kwao.....kisukuma, kipare, kimachinga, kiyao, kingoni, kinyakyusa?

au ilikuwa inaenda automatic?

Halafu jengine....kipi bora, kusema I love you mara nyiingi huku humaanishi au kuisema kabisa ukiwa unamaanisha kwa wakati na mahali muafaka?

nadhani mtu kama mnapendana basi matendo yanaonyesha tu, mambo mengine unaweza kujichanganya bure kudhani upo nje ya mstari kumbe bado...

hivi wazee wa zamani walikuwa hawajui mapenzi au mapenzi pia ni lazima yende na wakati?
 
halafu hapo shosti umeongea ..........kakalia kama keshawahi kufanya kazi jeshini au kuwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi :confused2:

Jeshini sawa, manake nilipigana vita ya nduli:becky::becky:

Halafu I take that as a compliment, plus roselyne inabidi tuonane baada ya mfungo ili kusiwe na conflict of interest...:rolleyez::A S-alert1::ranger::ranger:
 
hivi wazee wa zamani walikuwa hawajui mapenzi au mapenzi pia ni lazima yende na wakati?

Thats a good observation Gaijin,

Maoni yangu ni kwamba, mapenzi walikuwa wanayajua, ila sio kwa muktadha huu wa sasa ambao kwa sehemu kumbwa unaonekana kulandana na aina ya mapenzi ya wenzetu wazungu wanayoyaishi,

Maana mababu zetu enzi hizo wakioa wake hadi wanne na wote wakaa kwenye mji mmoja husikii chokochoko.....sasa hili kwa wenzetu lingekuwa gumu kweli kweli,

Kusema mapenzi yaende na wakati bado sidhani kama ni sawa hasa kwa maana ya mapenzi yenyewe...sana sana mi nauona wakati wetu kama amba unafisadi mapenzi na kutongezea wasi wasi mkubwa kutokana na mwingiliano wa tamaduni ambazo nyengine ni muflis,

na hivi ukiona kilemba kimelowa, ujue kikoi ki taabani,:becky:

(sasa sijui haya unayaendorse kwa muktadha wa NN au wa Kiranga?)
 
(sasa sijui haya unayaendorse kwa muktadha wa NN au wa Kiranga?)[/QUOTE]

kwa namna hayo maneno ya buluu yalivyokuwa on point lazima niya endorse kwa mujibu wa both NN na Kiranga 🙂
 
Mapenzi kama yapo ya kweli nenda mbele rudi nyuma yatarudi tu,as long as you love each other,otherwise kama mwenzio ana mipango mingine au yeye ni kawaida yake kuacha na kuchukua mpya kila kukicha,lakini why uanze uhusiano mpaya wakati mnaweza ku sort out your diffences?itakua kila siku wewe mtu wa kuacha na kuchukua haipendezi kwenye jamanii.kila siku kaolewa kaachwa,kaoa kaacha haileti picha nzuri.naamini wanawake ukimpa mapenzi ya kweli waala hawezi kukuacha kama anakupenda wanaume ndio wagumu kusamehe.kaeni kwenye ndoa zenu bwana na muyamalize,kwani wazawi wetu waliwezaje?zamani husikii wameachana or kaolewa tena ilikua ni aubu.
 
Sielewi kule mwanzo mwana jf Ameuliza unaweza kufufua mapenzi ulikua unauliza swali au ulitaka watu wajadili mwana JF?Maana chini tena umesema yamekuwa yesu yafufuke?msitumie dini kuongelea mambo ya malove kwani kwa Yesu kila kitu kinawezekana,hata kuzaliwa upya mapenzi kwa kumtanguliza mwenyenzi Mungu inawezekana IMANI tu..:smile-big:
 
...are you 'talking to me?'...:A S-confused1: 😛uke:

:sorry: ...kuna tofauti baina ya mapenzi, na mazoea. I believe Mazoea yanabadilishika whilst Mapenzi ni kama nguo. Yakishachuja ndio yameshachuja hayo.

Ndio maana niliuliza; ' mnaishia kuishi "for the sake of your children" ??? '
Watu tumetofautiana experiences humu.
Mwenzenu nipo busy kuziba nyufa zilizokuwepo kwa mama watoto,...

Back
Top Bottom