D Dj dero New Member Joined Jun 12, 2025 Posts 1 Reaction score 1 Jun 29, 2025 #1 Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,037 Reaction score 3,923 Jun 30, 2025 #2 Sarafu ya 50 ndio adimu zaidi. Labda ni kwa vile thamani yake ni kidichu mno!
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Jun 30, 2025 #3 Watakuja kusema wasukuma wa mwanza wanakula hadi sarafu ndio maana zinaadimika.
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,591 Reaction score 14,369 Jun 30, 2025 #4 200 ipo mkononi mwa wachina kwenye madubu yao. Mia haipatikani kwa sababu ya uimara wake hafifu hivyo zinachakaa sana na kutupwa
200 ipo mkononi mwa wachina kwenye madubu yao. Mia haipatikani kwa sababu ya uimara wake hafifu hivyo zinachakaa sana na kutupwa
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Jul 1, 2025 #5 Dj dero said: Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu. Click to expand... Una 200 hapo?😁😁
Dj dero said: Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu. Click to expand... Una 200 hapo?😁😁