200 na 100 ni sarafu hadimu saana haswa hapa jijini mwanza

Dj dero

New Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
 
Watakuja kusema wasukuma wa mwanza wanakula hadi sarafu ndio maana zinaadimika.
 
200 ipo mkononi mwa wachina kwenye madubu yao.

Mia haipatikani kwa sababu ya uimara wake hafifu hivyo zinachakaa sana na kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…