gari zipo home mapipa. any time unaweza kuziona hata usiku maana zinalala hapo hapomzee upo mtaa gan i wanted to be there soon
duh mzee hata used huwezi kupata kwa bei hiyo bob.5mil vp mzee?
hii sio D4 ni 3S-FE wangu. mashine inaburuza hatari. offa yako sio mbaya ila kidogo inanibana. jivute jivute kidogo uchukue mchumaKaka imetulia sio D4 lakini, maana HIZO D4 ni kimeo, kama sio D4 nakupa 6.5 mil, unakula?