2000 toyota premio

2000 toyota premio

dullymo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2009
Posts
105
Reaction score
5
2000 model Toyota PREMIO
1700CC, 45,000km. SIlVER
AUTOMATIC

OPTIONS
sports sims,airbag, center lock, AC, tape, fm, ABS, CD player, very economiic

full registered.

bei ni 8ml.

kwa picha na maelezo zaidi au ukotaka kuiona nitwangie ktk
0713 - 744 144 - abdul
 

Attachments

  • premio.jpg
    premio.jpg
    47.8 KB · Views: 108
Ni nzuri mno, natamani kama ningeiona jana.!!!!!!!!!!
 
hata leo mzee unaweza kuiona au mpunga ushaupiga panga?
 
Kaka imetulia sio D4 lakini, maana HIZO D4 ni kimeo, kama sio D4 nakupa 6.5 mil, unakula?
 
Kaka imetulia sio D4 lakini, maana HIZO D4 ni kimeo, kama sio D4 nakupa 6.5 mil, unakula?
hii sio D4 ni 3S-FE wangu. mashine inaburuza hatari. offa yako sio mbaya ila kidogo inanibana. jivute jivute kidogo uchukue mchuma
 
Back
Top Bottom