2001 Corona Premio for Sale

2001 Corona Premio for Sale

Bob Nash

Member
Joined
Aug 21, 2009
Posts
64
Reaction score
0
Imeingia nchini ina mwezi, imeshakatiwa motor vehicle na insurance, ni ya cc 1760, 4 cylinder, imetembea kilomita 56,200, bei 11mil, ingawa biashara mazungumzoo, picha soon nitaweka. Kwa mawasiliano piga 0654-633109.
 
Weka picha haraka mzee ili tujui ni Premio old model or model mpya!!
 
km ni new model sawa lkn hizi premio nazoziona barabarani humu kwa m11 duh SIJUIIIII
 
Hiyo Sio D4??????????????????????????????????????????? na weka sababu kwani hiyo sio CHICACO
 
Back
Top Bottom