Sipati picha Air Tanzania kuibiwa kutokana na malimbikizo ya madeni.
Nadhani atatafuta yule bibi wa babati, aliogombezwa kidogo tu na konda akakasirika mpaka bus likagoma kuwaka, sukuma sukuma na wewe, piga staster starter na wewe mpaka battery low na self ikataka kufa, fungua engine gear box mpaka sight-mirro na end-cator. Ngoma bila bila, chuma ikagoma.
Alipoombwa msamaha kisawasawa na - abiria wote/dereva/konda/police/wapiga debe/mama ntilie/machinga - bibi hasira zikaisha na hali ndio ikawashwari, safari ikaendelea.