Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Hizi ndege zina majanga sana, unaikumbuka issue ya D. Cooper?Hivi na teknolojia hii yote rada zote hizi kila nchi inakuwaje dubwasha kama la 727 lisijulikane lilipoelekea?! Ina maana hata kwenye rada ilishindwa kufuatiliwa na kujulikana hatua ya mwisho ilipopotelea?
Ya Dr. Cooper hii pamoja na Ile ya Malaysia zinathibitisha kabisa kuwa pamoja tunasema teknolojia iko vizuri lakini kuna muda zinashindwa kutoa majibu sahihi kwa maswali ambayo binadamu tunajiuliza.Hizi ndege zina majanga sana, unaikumbuka issue ya D. Cooper?
Unataka kusema waanze kuitafuta kwenye vinu vya nyuklia vya Iran kuisaka ndege hiyo?MAMBO MENGINE UNAWEZA KUTA WANAFANYA WAHUSIKA WENYEWE ILI KUPATA ACCESS YA KUINGIA SEHEMU FULANI KWA KIGEZO CHA KUITAFUTA NDEGE KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO
Hahaha swala imefichwa wapi? Nakubaliana na wote waliosema labda atakuwa ameigongesha sehemu Africa au imedondoka baharini.Kuna watu ni ma mafia, unaiba ndege?π
Kwani air Malaysia iko wap na imepotea hivi karibuni kukiwa na rada kila sehemHivi na teknolojia hii yote rada zote hizi kila nchi inakuwaje dubwasha kama la 727 lisijulikane lilipoelekea?! Ina maana hata kwenye rada ilishindwa kufuatiliwa na kujulikana hatua ya mwisho ilipopotelea?
Haya ndio mambo yanayoishangaza dunia, lakini naimani kuna mataifa watakuwa wanataarifa kamili na issue iko very classified kutokana na package iliyokuwemo ndani ya ile ndege. Ni kwa amani ya dunia ni bora ikabaki haijulikani kuliko ingejulikanaKwani air Malaysia iko wap na imepotea hivi karibuni kukiwa na rada kila sehem
Haya mambo haya
Kuishi kwingi [emoji28][emoji28]Sipati picha Air Tanzania kuibiwa kutokana na malimbikizo ya madeni.
Nadhani atatafuta yule bibi wa babati, aliogombezwa kidogo tu na konda akakasirika mpaka bus likagoma kuwaka, sukuma sukuma na wewe, piga staster starter na wewe mpaka battery low na self ikataka kufa, fungua engine gear box mpaka sight-mirro na end-cator. Ngoma bila bila, chuma ikagoma.
Alipoombwa msamaha kisawasawa na - abiria wote/dereva/konda/police/wapiga debe/mama ntilie/machinga - bibi hasira zikaisha na hali ndio ikawashwari, safari ikaendelea.
Hii nayo point[emoji375][emoji375]MAMBO MENGINE UNAWEZA KUTA WANAFANYA WAHUSIKA WENYEWE ILI KUPATA ACCESS YA KUINGIA SEHEMU FULANI KWA KIGEZO CHA KUITAFUTA NDEGE KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO
Kuna NGUVU kubwa sana isiyowezekanika kwa sayansi na teknolojia zetu.Ya Dr. Cooper hii pamoja na Ile ya Malaysia zinathibitisha kabisa kuwa pamoja tunasema teknolojia iko vizuri lakini kuna muda zinashindwa kutoa majibu sahihi kwa maswali ambayo binadamu tunajiuliza.
Kwa issue hii utapata majibu ya sayansi ya asili tu. Wazungu can't have an explanation about it mkuuππKuna NGUVU kubwa sana isiyowezekanika kwa sayansi na teknolojia zetu.
Nasubiri wanasayansi watupe majibu ya Yule dada aliyezaa kuku Kigoma
Walijuaje kama yeye ndio sababu ya gari kugoma kuwaka?πSipati picha Air Tanzania kuibiwa kutokana na malimbikizo ya madeni.
Nadhani atatafuta yule bibi wa babati, aliogombezwa kidogo tu na konda akakasirika mpaka bus likagoma kuwaka, sukuma sukuma na wewe, piga staster starter na wewe mpaka battery low na self ikataka kufa, fungua engine gear box mpaka sight-mirro na end-cator. Ngoma bila bila, chuma ikagoma.
Alipoombwa msamaha kisawasawa na - abiria wote/dereva/konda/police/wapiga debe/mama ntilie/machinga - bibi hasira zikaisha na hali ndio ikawashwari, safari ikaendelea.
Usilete Mambo ya vumbi la Congo HAPAπ¦π¦π¦π¦π΅πUliandika mmoja Kati ya wahusika Ni fund wa ndege kutoka Kongo
Na kwel FBI na CIA apo walishaingia mpk CUBA kwa fidel castro kisa ndege imepoteaMAMBO MENGINE UNAWEZA KUTA WANAFANYA WAHUSIKA WENYEWE ILI KUPATA ACCESS YA KUINGIA SEHEMU FULANI KWA KIGEZO CHA KUITAFUTA NDEGE KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO
Acha weeeeWauza spea used za ndege wameshaikatakata .
NilishaisahauAcha weeee
Umeona ehhNilishaisahau