Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Thanks brother. I'll keep it up. Asante sana kwa ushauri wako mwanana.Story nzuri ila haisisimui buda.
BTW keep it up
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks brother. I'll keep it up. Asante sana kwa ushauri wako mwanana.Story nzuri ila haisisimui buda.
BTW keep it up
Kaka upo?Aksante sana
Nalog off
muongo sana huyu nilijua nakula ugali wa dona kumbe sembeSecretary wa Vodacom Tanzania anaenda kuuza siri za kampuni yake kwa Tigo Tanzania alafu Tigo wanakataa kununua kisha wanawajulisha police.
Don't you find this strange?
Uongo wangu upo wapi sasa hapo boss?muongo sana huyu nilijua nakula ugali wa dona kumbe sembe
Siyo wew naongelea mtoa mada nimekucopy kwa kukubaliana na wewe statement yakoUongo wangu upo wapi sasa hapo boss?
Nipo Kaká mihangaiko tuKaka upo?
Sawa kaka Mungu akubariki katika mihangaiko yakoNipo Kaká mihangaiko tu
Nalog off
Okay sawa chief nimekuelewa sasa. One loveSiyo wew naongelea mtoa mada nimekucopy kwa kukubaliana na wewe statement yako
Asante sana.OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Asante pia. Mungu angetaka tuzaliwe Marekani au Uingereza asingeshindwa. Aliruhusu sisi tuzaliwe Tanzania kwa maana ana malengo yake kaka.Asante sana.
Naam Mkuu, Nakubaliana na wewe.Asante pia. Mungu angetaka tuzaliwe Marekani au Uingereza asingeshindwa. Aliruhusu sisi tuzaliwe Tanzania kwa maana ana malengo yake kaka.
Amen mzee baba@Naam Mkuu, Nakubaliana na wewe.
=====
hahahaaaa sawa mzee babaitakua hizo Siri walishaziiba tu kwanza skuiz peps ni tam kuliko coca
Umefafanua vizuri sana katika suala mzee baba. Thanks@Nikirejea kwenye mada iliyomezani.
Tukio hili limenifanya niyaangalie makampuni haya kwa jicho lingine kabisa. Kwanza mwanzoni, nilikuwa najua kampuni ya Pepsi ni kampuni ya wahindi. Yaani sielewi imani hii niliipata wapi. Lakini baadaye nikaja kujua kuwa Pepsi ni kampuni ya kimarekani.
Huyu dada(katibu muhitasi), aliyetaka 'kuuza siri' za kampuni ya Coca Cola, mimi nadhani kuna ujumbe alikuwa anataka kuupa ulimwengu lakini Ulimwengu ukajikuta unashindwa uulewa ujumbe huo. Mimi kifikra naona huyo dada alitaka kuoonyesha ulimwengu kuwa hizi kampuni mbili zinauchezea ulimwengu viini macho.
Inaonekana kabisa alitaka kuuonyesha ulimwengu kuwa hizi kampuni si mbili bali ni moja. Mmiliki wake ni mmoja!! Usishangae!! Yawezekana kabisa kampuni kwenye vitabu hata majina yakawa tofauti lakini ukweli ni kampuni moja. Na hii hapa Coca Cola na Pepsi cola inawezekana pia ni matawi ya kampuni na mmiliki mmoja hasiyejulikana!! Wewe endelea kushangaa tu!! @Habibu B. Anga katika makala zake hapa JF aliwahi kueleza jambo hili; hasa ukirejea makala yake iliyokuwa inaelezea 'maoligachi wa Russia'. Ipitie kwa makini makala ile.
Inawezekana kabisa hii kampuni isiyojulikana yenye matawi ya Coca na Pepsi, ilifanikiwa kung'amua mapema tabia ya wanadamu ya kupenda kuchagua ama kulinganisha mambo na hata vitu ili achague jambo ama kitu anachokitaka. Na huu ndiyo ukweli ukienda duka la rejareja lenye aina moja tu ya bidhaa hujisikii sana kutumia duka hilo zaidi utaenda kwenye duka lenye mchanganyiko wa bidhaa mbalimbali hata kama idadi ya bidhaa ya duka ilo ni ndogo kuliko idadi ya bidhaa kwenye duka lenye aina moja ya bidhaa (huu ndiyo uzoefu wangu utakuwa na wa kwako pia). Sasa ili kuendelea kuwakamata wateja wa vinywaji baridi, basi kampuni hii isiyojulikana iliamua kujibadilisha na kuwa na matawi mawili yenye majina yanayojulika na kuoneka ni kampuni mbili tofauti zinazojitegemea. Na mmiliki huyu asiyejulikana akahimiza matawi yake haya yaendelea kutengeneza bidhaa tofauti (brand mbali mbali za vinywaji) ili kuendelea kuwakamata wanadamu na tamaa yao ya kupenda kuchagua.
Kwa kesi hii, mara moja ilitakiwa uchunguzi uanzishwe kumpata mmiliki anayewachezea watoza kodi wa nchi husika katika kuhadaa mfumo wa utozaji kodi.
Acha uongo mzee baba. Clouds na wasafi ni za watu tofauti sana.No sawa na clouds na wasafi media
Inaomekana kusaga amasoma sana vitabu
Chiz weweAcha uongo mzee baba. Clouds na wasafi ni za watu tofauti sana.
Duuuh. Kuna nini tena man?Chiz wewe
Kuhusu clouds na wasafi media, yani sijui yupo dunia ganiDuuuh. Kuna nini tena man?