2006 Coca-pepsi (cola) vicious trade war & corporate espionage: Secretary wa COCA-COLA alivyoiba "highly classified documents" kwenda kuwauzia PEPSI

Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.
 
Maisha ni mchezo hatari sana. Sema wanaoelewa codes wanayafaidi sana. Kuna mengi yanafanyika watu tunabaki kushabikia na kutazama tu
 
Pepsi or Coke zote ni damu za zombies zimechanganywa na sukari ili mpate migonjwa ya kuwateseni kwa muda mrefu, Kisha makampuni mengine ya kishetani yawauzieni madawa yasiyo watibuni ila kupooza tu maumivu.
Bujibuji nakuheshimu sana kaka. Ila leo umeandika trush. Ni "damu za zombie" for the record zombie ni myth... they are not real..
Hizo story za vijiwe vya kahawa ambazo ni conspiracy theory bila kuwa na evidence yoyote.

Unafeli wapi man?
 
Kusema ni damu za mijizombie sio kosa. Hebu tuangalie madhara ya masoda haya, dunia imekaa kimya na masoda hayo yanaua sana watu. Hivi kati ya masoda haya na maji kipi kina madhara zaidi? Soda ni mbaya kuliko bia, kwanini? Na soda haileweshi?
 
Noooo man. Ukisema damu za mazombi.. you sound comical and delusional man.
Atleast ungesema ni chemical zisizonzuri. Atleast.

Utamu wa soda na kuelewa ni vitu viwili tofauti.
Ndio maana pombe zote zina class yao.. na zinakuwa classified kuwa ni alcohol..

The kuna cold drinks.. hapa ndio akina soda.. akina juice.. akina energy drink ndio wanapatikana.

Wangeamua kuweka alcohol kwenye soda wanaweza.
Ila mahitaji ya wateja ni tofauti. Si wote wanapenda.

Soda ni mbaya kuliko bia? Nani kakwambia. Zote ni mbaya.. different ni kwamba kila moja inakuua kwa njia yake.

Maybe u avoid everything
 
Hakuna simba bila yanga bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…