2006 Ulikuwa wapi

Na tunaish kuna chalii nimemkuta some where anakula chips nikiangalia simu pembeni yuupo jf nikawa namvizia accoment nijue Id yyake kuja kuangalia ase si ndio wakwaza kukemea wanaume tusile chips ase nimecheka sana sema sitak kumtaja
Aaah unatuuza ww
 
Ilikuwaje ulipo fika ubongo ukupotes najua hapo ulikuja na ushamba kutoka ludewa [emoji23][emoji23] tupe story kidogo
Ndugu zangu walikuja kunipokea, Kwa hiyo sikupata shida sana. Imagine Azania ipo town kabisa lkn ilibidi nipelekwe, nikaambiwa hii ndo shule uliyochaguliwa [emoji3]
 
Kwahiyo ulitaka uende mwenyewe 😂
 
Na tunaish kuna chalii nimemkuta some where anakula chips nikiangalia simu pembeni yuupo jf nikawa namvizia accoment nijue Id yyake kuja kuangalia ase si ndio wakwaza kukemea wanaume tusile chips ase nimecheka sana sema sitak kumtaja
Hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…