Tena akiwa mweupe kwisha habari yako 😂😂Asante mkuu nitakuwa na wazungu baadhi nitakupa mmoja walua uondoe mikosi najua mgoni utakiwi kumuachia mwanamke akuamgalizie
Nipo kwa babangu na ndevu zangu hatoki mtu hapa😂😂😂😂 kaka utakuja kumwagiwa maji ya moto uku unajiona akifukuzaye akuambii toka
Wangoni si watu na wimbo wao ule et mnatuimbia kabisaTena akiwa mweupe kwisha habari yako 😂😂
Ila sio wote wako hivyoWangoni si watu na wimbo wao ule et mnatuimbia kabisa
Napotaka mimi ni hapo X2 pala papaa
Wakinga ndio hatar kwa uchawIla sio wote wako hivyo
Dah shikamoni bro pole na kazi😂Form 6, Tambaza moja.
[emoji28]
Nilikua najiona mkubwa ila Kuna watu ni wahenga😂Watu kumbe siku zenu za kuishi zina hesabika ivyo 😂😂😂
Mzee umezeeka acha mzikiForm three
Kuna babu yako humuNilikua najiona mkubwa ila Kuna watu ni wahenga😂
Aah shemelaa umenikumbusha line yangu ya celtelKabla ya Juni, nilikuwa nimeajiriwa KMCL (process plant) na baada ya Juni nilikuwa Celtel network dept..!! Haya amkia
Mziki nitakufa naoMzee umezeeka acha mziki
Wewe unajua utaishi mpaka lini?Watu kumbe siku zenu za kuishi zina hesabika ivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
NaamCol.tole rusubi?
Kwahiyo sisi watoto wako unataka tufanyeje 😂Mziki nitakufa nao
Iyo ni jokes tu usipanikaWewe unajua utaishi mpaka lini?
Hakikisha anaondoka na mimba yakoHalafu huyu housegirl nitamfanyia uhuni afukuzwe🤣🤣
Ulisoma nae? Ni kaka yangu first bornNaam
Akibeba mimba yangu baba ataniozesha maana ndo ugomvi wetu unapoanzia eti kama kazi umeshindwa kupata si uoe.....🤣🤣Hakikisha anaondoka na mimba yako