2006 Ulikuwa wapi

2006 Ulikuwa wapi

Huo mwaka nilisingiziwa mimba nikaikataa. Na hiyo mimba ndo ulizaliwa wewe. Huenda sasa hivi ningekuwa na mtoto punguani πŸ˜€
Sasa baba yangu nimekuwa nilikuwa nakutafuta baba 😭😭😭 hatimae nimempata baba
 
2006 nilitoka Bukoba baada ya kufukuzwa shule mwaka 2005 nikiwa form 3, nikapitia Kigoma kusalimia then nikaenda Tanga. Nikaanza shule tena pale Tanga mjni nikarudia form 2
 
2006 nilitoka Bukoba baada ya kufukuzwa shule mwaka 2005 nikiwa form 3, nikapitia Kigoma kusalimia then nikaenda Tanga. Nikaanza shule tena pale Tanga mjni nikarudia form 2
Kumbe wewe ni muhuni ulie zeeka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiamka asbh ukaona kidume kinatoka kifua wazi chumbani kwa mama yako huku kimevaa kanga ya mama yako basi huyo ndo baba yako hata kama unamzidi umri.
Ww si umeniambia wewe ndionbaba yangu sasa
 
Back
Top Bottom