Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
Basi ngoja niwahi kanisani leo tuna wimbo wa kumpongeza Mama Samiaπ€£π€£Kwaya mimi pia naimba Mt kizito makubuli ππ
Unauliza na kujijibu mwenyew π€£π€£Mimi nipo nyumbani kwani mama umenichoka kukaa hapa nyumbani
Niambie bas[emoji4]Darasa la kwanza
πNiambie bas[emoji4]
Uwe unaniamkia aisee dah
Mbarali iyoMabadaga ipi boss
Ahahah sasa si unitafutie kaziUnauliza na kujijibu mwenyew π€£π€£
unazidi kuchakaza makochi pia nimechoka kuombwa pesa za boxer
Ahahah sasa si unitafutie kazip
Khaaa nahiyo sauti yako ya 10 kanisa lazima lipate nyufa na waumini kupata ugonjwa wa masikioKwaya mimi pia naimba Mt kizito makubuli ππ
Mbona unanikatisha tamaa ivyo nilikuwa nacheza kipapa πππKhaaa nahiyo sauti yako ya 10 kanisa lazima lipate nyufa na waumini kupata ugonjwa wa masikio
Tuki waachia wazee peke yenu ili jukwaa basi kesho hakutakuwa na wachangiajikumejaa watoto wadogo ndio maana kuna ujinga mwingi na dharau
Unapaswa ujibu swali mrembo B L.Wewe Johnnie Walker wewe hebu acha uongo, midevu ile umenyoa miaka zaidi hata 7. Leo useme umezaliwa 2006?
Kwa uongo huu nimeghairi, kukupa ile vocha ya buku 10...
π π π π π Johnnie Walker akuje kwanza hapa...Unapaswa ujibu swali mrembo B L.
Binafsi nilikuwa napambana na physics with chemistry ya mheshimiwa Mungai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Johnnie Walker akuje kwanza hapa...
Mimi siri yangu [emoji6] nikikumbuka nitaweka hapa.