Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
Basi ngoja niwahi kanisani leo tuna wimbo wa kumpongeza Mama Samia🤣🤣Kwaya mimi pia naimba Mt kizito makubuli 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ngoja niwahi kanisani leo tuna wimbo wa kumpongeza Mama Samia🤣🤣Kwaya mimi pia naimba Mt kizito makubuli 😂😂
Unauliza na kujijibu mwenyew 🤣🤣Mimi nipo nyumbani kwani mama umenichoka kukaa hapa nyumbani
Niambie bas[emoji4]Darasa la kwanza
😄Niambie bas[emoji4]
Uwe unaniamkia aisee dah
Mbarali iyoMabadaga ipi boss
Ahahah sasa si unitafutie kaziUnauliza na kujijibu mwenyew 🤣🤣
unazidi kuchakaza makochi pia nimechoka kuombwa pesa za boxer
Ahahah sasa si unitafutie kazip
Khaaa nahiyo sauti yako ya 10 kanisa lazima lipate nyufa na waumini kupata ugonjwa wa masikioKwaya mimi pia naimba Mt kizito makubuli 😂😂
Mbona unanikatisha tamaa ivyo nilikuwa nacheza kipapa 😂😂😂Khaaa nahiyo sauti yako ya 10 kanisa lazima lipate nyufa na waumini kupata ugonjwa wa masikio
Tuki waachia wazee peke yenu ili jukwaa basi kesho hakutakuwa na wachangiajikumejaa watoto wadogo ndio maana kuna ujinga mwingi na dharau
Unapaswa ujibu swali mrembo B L.Wewe Johnnie Walker wewe hebu acha uongo, midevu ile umenyoa miaka zaidi hata 7. Leo useme umezaliwa 2006?
Kwa uongo huu nimeghairi, kukupa ile vocha ya buku 10...
😅😅😅😅😅 Johnnie Walker akuje kwanza hapa...Unapaswa ujibu swali mrembo B L.
Binafsi nilikuwa napambana na physics with chemistry ya mheshimiwa Mungai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Johnnie Walker akuje kwanza hapa...
Mimi siri yangu [emoji6] nikikumbuka nitaweka hapa.