2006 Ulikuwa wapi

Nakwambia njia ya kwenda Mbinguni, utakuwa unaichungulia tu haki tena 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mbona unataka kuniwekea viuzi wiki iliyo pita ndio nimeanza ota mdoto nyevu sasa utaki au njoo unikague πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2006 ulikuwa wapi?

Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe under 18 umeruhusiwa na nani kuingia humu? Kamwulize shangazi yako ndiye alikuwa mchepuko wangu! Wakati huo tayari niko kazini!😁😁
 
Wewe under 18 umeruhusiwa na nani kuingia humu? Kamwulize shangazi yako ndiye alikuwa mchepuko wangu! Wakati huo tayari niko kazini!😁😁
Kumbe ww mjomba ndio alikuwa ananihadithia jana dah bora nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…