2006 Ulikuwa wapi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee wa ovyoo hai et mbususu

Mzee mwenye busara hajisifii kula mbususu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu hii ndio platform pekee unakuta kila rika linafanya interaction na rila lolote bila kuulizana umri. Huko mtaani huenda tunapishana kwa "shkamoo--marahaba"! Kwahiyo tuishi tu dogo.
 
Mkuu hii ndio platform pekee unakuta kila rika linafanya interaction na rila lolote bila kuulizana umri. Huko mtaani huenda tunapishana kwa "shkamoo--marahaba"! Kwahiyo tuishi tu dogo.
Ujakosea bwana mkubwa
 
Mimi nipo Middle School, 11th Grade.
No you’re not, unless umesahau mwaka uliosema ulikuwa bado kwenye kende za baba yako.

Aliyezaliwa mwaka 2006 kama mleta mada, ana miaka 17.

11th grader ni 16-17 years old.

Wewe umesema huo mwaka siyo tu kwamba ulikuwa kwenye kende za baba yako, bali baba yako hata alikuwa hajuani na mama yako hiyo 2006. Au umeongopa?
 
Wewe si unaona hata jina limeanza na title "Mzee" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Usione tunachekacheka na kutaniana kule kwenye uzi wa usiku wa manane uwe unakumbuka kunipa kaheshima wakati mwingine
Ww ata nikikuta njian sikupi heshima yako sana sana nitakupa tano tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2006 naanza form 1.........kumbe kuna watoto
Ndo maana tunabushana saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…