Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
Ndiyo na AgricultureNyinyi ndio mwaka ambao Commerce na B/Keeping zilifutwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo na AgricultureNyinyi ndio mwaka ambao Commerce na B/Keeping zilifutwa
nafikiri tusubiri majibu kwakeKaz maalumu ya kuwala hela vibabu
Mkuu hii ndio platform pekee unakuta kila rika linafanya interaction na rila lolote bila kuulizana umri. Huko mtaani huenda tunapishana kwa "shkamoo--marahaba"! Kwahiyo tuishi tu dogo.😂😂😂😂 wazee wa ovyoo hai et mbususu
Mzee mwenye busara hajisifii kula mbususu sana 😂😂😂
Ujakosea bwana mkubwaMkuu hii ndio platform pekee unakuta kila rika linafanya interaction na rila lolote bila kuulizana umri. Huko mtaani huenda tunapishana kwa "shkamoo--marahaba"! Kwahiyo tuishi tu dogo.
Yalikuwa mambo ya waziri wa elimu Joseph MungaiNdiyo na Agriculture
kikujibu niambienafikiri tusubiri majibu kwake
Ww mzee bwanaYalikuwa mambo ya waziri wa elimu Joseph Mungai
No you’re not, unless umesahau mwaka uliosema ulikuwa bado kwenye kende za baba yako.Mimi nipo Middle School, 11th Grade.
Mkuu samahani naomba ufungue PM yako,ninashida ya kiofisDarasa la sita aisee,
Wewe si unaona hata jina limeanza na title "Mzee" 😀😀😀Ww mzee bwana
Ww ata nikikuta njian sikupi heshima yako sana sana nitakupa tano tu 😂😂Wewe si unaona hata jina limeanza na title "Mzee" 😀😀😀
Usione tunachekacheka na kutaniana kule kwenye uzi wa usiku wa manane uwe unakumbuka kunipa kaheshima wakati mwingine
Walitutesa hawa wanasiasaYalikuwa mambo ya waziri wa elimu Joseph Mungai
Nyinyi watoto wa enzi za Kikwete wengi wenu ni vijana wa ovyo 😀😀😀Ww ata nikikuta njian sikupi heshima yako sana sana nitakupa tano tu 😂😂
ClassmateDarasa la nne
Una miaka 17 halafu bado unauliza cha kujifunza? Au tayari unadhani umeshamaliza.😂😂😂 tujifunze nini?
Nyinyi watoto wa enzi za Kikwete wengi wenu ni vijana wa ovyo 😀
Mpaka jasho la mifugo lik hamia kwakoNilikua machungani
Utakapoziona mbuzi na ng'ombe nipo 😁