Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kwa kutuamkia dogo2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? [emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoooo nilisahau 😂😂Anza kwa kutuamkia dogo
Nlikuwa chuo mwaka wa pili
Ww ulijuaje sasa 😂😂Wazazi wangu walikuwa hata hawajuani.
Kumbe na ww ni dogo 😂😂😂Darasa la 3
Mwaka wa ngapiChuoni buhare
Shenzi kabisa 😂😂😂 kwahiyo unataka kusemajeKumbe ndio maana hatutakiwi kubishana sana, maana wengine hata maziwa hayajakauka
Duh kumbe uhuni hujaanza jana, watu kama ninyi ndio mnafaa kuitwa wahuni sio hawa wanaosokota nyweleNi shule tu nilichelewa mi niliwahi kugombania dem na mwalim mkuu tukasuluhishwa
Duh madogo tupo wengi sana kumbeNaingia la kwanza
Ndio nishamaliza shenziShenzi kabisa 😂😂😂 kwahiyo unataka kusemaje
Ndio nishamaliza shenzi
Ww ulibeba kadi yangu ya clinic 😂😂Kumbe nimeenda age aise. Mtoto wa 2009 anatumia jamii forums🤔 yaani ata jf ni kwongwe kupita mtumiaji
Duh mkongwe kidogDarasa la 5 aisee