KASHAMBURITA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 204
- 655
Tupo wote mkuuNaingia la kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wote mkuuNaingia la kwanza
2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? [emoji23][emoji23][emoji23]
We muache asome bana usianze kumtia husda.Huyo mtoto mbona kachelewa Shule.
Haha mkuuWe muache asome bana usianze kumtia husda.
Ahahah ongera sana
dingiii vioAnza kwa kuamkia baba zako sisi
Kipindi iko uuko kijana 😂😂😂
Nazila kimasihara vibaya mno damu inachemkaKipindi iko uuko kijana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka ulibatizwa jinaNazila kimasihara vibaya mno damu inachemka
Kiwanja kama Kill time miaka ya 2003 acha kabisa
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Watu wahenga ila ww wa 98Darasa la pili
Nyinyi ndio mwaka ambao Commerce na B/Keeping zilifutwaNdo nakariri what is Biology....Tukaletewa somo linaitwa PHYSICS WITH CHEMISTRY wapuuzi walinifanya nije kusoma HGK
Kumbe na wewe kizee 😂😂Nyinyi ndio mwaka ambao Commerce na B/Keeping zilifutwa
Nilisimuliwa tu 😀Kumbe na wewe kizee 😂😂
Shikamooo dingiDuh kumbe watu tushazeeka...
2006 nilikuwa naanza form 5 pale Njoss
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
napenda utoto wwNilisimuliwa tu 😀
Shikamoo Mjomba😀Duh kumbe watu tushazeeka...
2006 nilikuwa naanza form 5 pale Njoss
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
MarhbaaaaaaaaaaaaahShikamoo Mjomba[emoji3]