2006 Ulikuwa wapi

2006 Ulikuwa wapi

Ongera sana kwa mapamban makali now najua una maduka makubwa sana
Hapana duka lipo ila nilijichanganya nikaenda kusoma
Siku zote nilikuwa na shauku ya kusoma nikaanza QT 2008 elimu haikunitenga as 2011 nikajoin Mzumbe na Sasa ni mtumishi wa umma
Naamini ningejikita kwenye biashara ningefika mbali ila sio kesi
 
Back
Top Bottom