Sidhani kama umechukua jitihada za kuitafuta ukaikosa! Kama unaweza kuweka bandiko hapa, bila shaka upo connected ktk internet, na kama upo connected mimi nadhani habari zilizotawala sasa hivi ni World Cup, so ukiGoogle utaipata kwa urahisi kabisa, naamini hivyo. Mimi sana sana ninaweza kuiweka hapa Excel spreadsheet ambayo kila baada ya mechi unajaza matokeo na kuSave, itakupangia msimamo wa kila group na nani anasonga mbele na atapambana na nani katika hatua inayofuata, hivyo hivyo hadi bingwa. Lakini ratiba mkuu, fanya homework ndogo bana, hata fifa.com ipo!